Mbona video za wasanii wetu wanazotengenezea S.A sio kali kama za wasanii wenzao?

Angalia video ya Niki ya alosto yaani lazima utataka krudiarudia afu njoo uangalie hii mpya ya wcb utaona Giza tu mazingira ni Yale Yale ya kipisquare

Alikiba ndo ovyo hiyo kajiandae afu ni vichwa viwili vimeshiriki bora hata chura anarukaruka og version afu alikiba cjui kwa nini anapenda video za usiku afu hazimtoi video nzuri kashirikishwa ndo nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…