Genius Man JF-Expert Member Joined Apr 7, 2024 Posts 3,558 Reaction score 7,935 Nov 16, 2025 #1 Mbona vyombo vya habari haviripoti kanusho la wizara ya afya kama ni Ai. Vyombo vya habari vya ndani vinaripoti tu maridhiano sasa tujiulize ni maridhano ya nini ? inamaana hawajui kinachoendelea.
Mbona vyombo vya habari haviripoti kanusho la wizara ya afya kama ni Ai. Vyombo vya habari vya ndani vinaripoti tu maridhiano sasa tujiulize ni maridhano ya nini ? inamaana hawajui kinachoendelea.
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,742 Reaction score 56,070 Nov 16, 2025 #2 Genius Man said: Mbona vyombo vya habari haviripoti kanusho la wizara ya afya kama ni Ai. Vyombo vya habari vya ndani vinaripoti tu maridhiano sasa tujiulize ni maridhano ya nini ? inamaana hawajui kinachoendelea. Click to expand... Hamna vyombo vya habari tz
Genius Man said: Mbona vyombo vya habari haviripoti kanusho la wizara ya afya kama ni Ai. Vyombo vya habari vya ndani vinaripoti tu maridhiano sasa tujiulize ni maridhano ya nini ? inamaana hawajui kinachoendelea. Click to expand... Hamna vyombo vya habari tz
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 11,394 Reaction score 21,391 Nov 16, 2025 #3 Na vyenyewe ni AI.
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,394 Reaction score 16,128 Nov 16, 2025 #4 BALILE ANAANDAA KALAMU YA MAMA