sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Jaman mnao uza vipodozi hapa.mwanza washaulini wateja wenu ambao ni wadada maana unakuta mtu mmoja anarangi zaid ya nne jaman?
Sura ina rangi yake, mikono rangi yake,makalio rangi yake,mapaja rangi yake,migui rangi yake, jaman rangi zaidi ya nne ni hatar hata bendera ya nchi yetu ina rangi nne tu nyie mamlaka ya kuwa na rangi zaidi ya nne mmepata wapi?