Elections 2010 Mbona walitaka sisi tukubali matokeo na wao sasa wanagoma?

Aristides

Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
9
Reaction score
0
Wao walikuwa wa kwanza kusema tukubali matokeo,sasa mbona wao wanakuwa wa kwanza kukataa kusaini.Je aibu yetu aibu yao?peoplesssssssssssssss!
 
Mkuki kwa ngurue?

This time Ngurue ndio ana mkuki....!
:yield:
 
Aibu yao. Wamezoea vya kunyonga, vya ku.....hawaweze, maana hawajazoea. Utamaduni mgeni huu.

People´s power itawalazimisha tu....

Big up sana chadema
 
Walifikiri mwaka huu mteremko kumbe wameingia choo wa kike
 
Wao walikuwa wa kwanza kusema tukubali matokeo,sasa mbona wao wanakuwa wa kwanza kukataa kusaini.Je aibu yetu aibu yao?peoplesssssssssssssss!

Walijua wataweza kuchakachua ndo maana walikuwa wanasisitiza kukubali matokeo.. Wamebanwa mbavu sasa yanawashuka.... Loh!!!
 
jamaa wanatumia 'delay tactics'!
Hawana pa kushika, wanaweweseka tu!:A S angry::A S angry:
 
wana nazani TUME wawe wanakagua VYETI VYA wanaojumlisha kura,SABABU WENGI INAVYOELEA HAWAJUI HESABU RAHISI ZA KUJUMLISHA NA KUTOA,mpaka nnavyoongea maeneo mengi matokeo hayajatoka kisa BADO WANAHESABU KURA.shame:israel:
 
General Shimbo ajitokeze tena kusema ccm wakubali matokeo..yuko wapi jamani?
 
Walifikiri mwaka huu mteremko kumbe wameingia choo cha kike

Wewe choo cha kike kufanya nini huko bado pana hashima kubwa, Afadhali tuseme wameingia CHAKA
 
"General Shimbo ajitokeze tena kusema ccm wakubali matokeo..yuko wapi jamani?"

I like this, kama yeye kweli ni mzalendo, na alikuwa anataka kuimarisha amani, na aje sasa awaambie ccm wakubali matokeo!
 
Ni kweli ukizoea cha Kunyonga cha kuchinja kutakiweza.
Kuanzia sasaivi ni mwendo wa vya kuchinja tu,hakuna kunyonga tena.Tuone kama watakwenda kwa style yetu.
Swain-Swandaladadae++!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…