WALIOMALIZA MWAKA JANA, WAMENYIMWA VYETI SABABU ETI HAWAJASAINI ADA, HIVI INAINGIA AKILINI, UOMBE MKOPO, UGOME KUSAINI? njama ile waziri aliibariki bungeni, haya sasa watoto wako mtaani bila vyeti, wanafuta ada wakalipe, sijui akili ya nani kumnyima mtu jembe akalimie nin alete mavuno.
ningeshauri wawape vyeti, ama hata copies, then original wazifate wakipata ada, watoto wa maskini ni vigumu kupata laki tano wakuu.
wamejaa mitaani bila vyeti, watapata kazi kwa nani, wahurumieni wapeni vyeti watawalipa ada yenu.