Mbona wanariadha wa Tanzania wa mbio ndefu hawamalizi mbio hizo?

vp tukupeleke ukamalize mbio.
Mtanzania utamjua tu. Kila akisikia mtu amekosolewa, hukimbilia kusema nedna kafanye wewe! Huku ni kukariri na inaonekana karibu kila mtanzania amekariri hili. Hujui kuwa kuna division of labour? Ukiwa mwanariadha unawakilisha nchi watu wanategemea u-perform kama wanariadha wengine kutoka nchi nyingine. Sasa huyu unayemwambia umpeleke ni mwanariadha. Hii culture ya kuuliza ''wewe utaweza?'', imeifanya nchi yetu irudi nyuma kwa kila kitu. Ni njia ya kijinga sana ya kujitetea. Back to the topic. Mwanzisha thread ana hoja ya msingi.
 
Riadha haipo hata kumi Bora ya michezo inayolipa duniani.

Lakini ni mchezo wenye small skills ambapo yeyote anaweza kufanya.
Yaan ukimkamata MMASAI yule Original anayekimbizana na Chui kule Ngorongoro ukamvisha KIBUKTA vzr ukampeleka huko kwenye kukimbiza Ushuzi umemaliza kazi.

Tofauti na michezo kama KANDANDA. lazima uweke misingi tangia chini watu wakar darasan wasome MIFUMO.. wasome SCIENCE ya Mpira/KABUMBU....
 
Mleta uzi huna hoja yoyote ya msingi zaidi ya kwamba umeandika tu upuuzi. Kushindwa kumaliza mbio ni jambo la kawaida kwenye riadha. Kusema kwamba chanzo ni TOC kula hela ni uwendawazimu kwa sababu TOC haikai mwilini mwa mtu. Mwanariadha bora wa muda wote kwenye mbio za Nyika alivyoshindwa kumaliza mbio za nyika pale Mombasa, Kenya, je tatizo lilikuwa shirikisho la riadha Ethiopia? Elewa kuwa hata kwenye mpira kuna siku mchezaji anakua yuko vibaya inabidi atolewe na kuingizwa mwingine. Kwenye riadha hakuna substitution. Akisema alazimishe huenda haga akaaanguka na kupoteza maisha. Acheni KULALAMIKA HOVYO NA KUINGIZA SIASA. Pia mkumbuke Geay ni mwanariadha tajiri kupitia riadha hivyo kila siku kwake yeye ni ya maandalizi ya mashindano hata kama TOC hawapo.
 
Ingekuwa hivyo tungepata medali nyingi. Unaandika ujinga
 
Riadha haipo hata kumi Bora ya michezo inayolipa duniani.

Lakini ni mchezo wenye small skills ambapo yeyote anaweza kufanya.
Inafikiaga hatua akili inataka ila mwili unagoma, huwa nashiriki hizi fun runners marathon za km 21.
Nafikiri tuwape heshima hawa watu si kazi rahisi kama unavyodhani.
 
Unamalizaze mbio zinazohitaji stamina na pumzi ,mazoezi mnafanyia bahari bichi ,badala ya milimani huko
 
Maandalizi yanatakiwa ya hali ya juu
Kuna mama mmoja Kenya huwa anawaandaa wakimbiaji niliona kwenye Al Jazeera, yaani wale finest ndio wanachukuliwa na ndio wanaenda kuiwakilisha nchi

Wenzetu wanakuwa wengi wanaowakilisha
Sasa sisi mtu anaanzia ukubwani ni majanga
 
Hakuna haja ya kukuelewesha mtu ambaye tayari umeshaonyesha dharau. Hao wanariadha unaowadharau ni matajiri kuliko wachezaji wengi wa mpira. Huyo aliyeshindwa kumaliza mbio leo ni tajiri wa kutosha.
Samahani sana.. naomba unisamehe.

Tafadhari sana. Sana sana.

Haya NAOMBA unitajie FAIDA za huo mchezo kwa TAIFA.
 
Kwa huku kulivyo ukute hata ndege wamefaulishwa,
 
Huyu anabwabwaja tu , toa hoja yenye mashiko , inaonekana unawalamba sehemu hao TOC ndo maana unawatetea…pesa za maandalizi ya Olimpiki nani anatakiwa atoe? Kambi ya Olimpiki imeshawekwa? Nani anatakiwa kuweka zaidi ya hao Wauaji wa Riadha TOC???? Acha Upumbavu wewe
 
Kwa huku kulivyo ukute hata ndege wamefaulishwa,
Unaandika usichokijua. Huyo mshiriki wa Sydney Marathon ni milionea kwahiyo la kufaulishwa ndege lifute kwenye akili yako. Pia hizo mbio hazikuwa za kiserikali.
 
Wewe mpuuzi hiyo Sydney Marathon ni mashindano ya olimpiki? Unajua tofauti ya TOC na RT? Walaumu RT. Siku nyingine ficha upumbavu wako. Hakuna unachokijua kuhusu riadha zaidi ya siasa za chuki ulizo nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…