Because I never trust anyone...Wakuu bila shaka mtakubaliana nami kuwa wanawake hutambulisha waume zao bila kuuma maneno yaani 'huyu ndiye mume wangu'. Kwa upande wa wanaume hali naona huwa tofauti kwani utawasikia 'huyu ndo shemeji yako' huyu ndo mama watoto' huyu ndo mamsap' huyu ndo mama polisi' n.k. Akijitahidi sana utasikia 'huyu ndo my wife'. Hivi tatizo ni nini wanandoa wenzangu?
Wakuu bila shaka mtakubaliana nami kuwa wanawake hutambulisha waume zao bila kuuma maneno yaani 'huyu ndiye mume wangu'. Kwa upande wa wanaume hali naona huwa tofauti kwani utawasikia 'huyu ndo shemeji yako' huyu ndo mama watoto' huyu ndo mamsap' huyu ndo mama polisi' n.k. Akijitahidi sana utasikia 'huyu ndo my wife'. Hivi tatizo ni nini wanandoa wenzangu?
hii ya kuitana majina halisi, sina comment ila mimi siwezi. Kuna majina ya kuitana mbele za watu na yale mkiwa peke yenu. Sweet, honey kwa maongezi ya cm au mkiwa room. Huwezi kumwita honey njoo akiwa ktk kundi la watu