Mbona wasanii wakubwa wa kimarekani hawana body guard,iweje visanii vyetu vina body guard 6?

Kwa sababu kibamia hana walinzi unaleta uzimavi hapa ?
 
Ameropoka ajuwe analo ongeya ametaka kusema kiba 100 hana walinzi
 
Jay Z hana mlizi,mbona wengi tu mi nshakuwa nao wakati niko kule.
Jay z alipokuja bongo alikuja na walinzi
Kambangwa alipotia timu alikuja naye
Na kuna picha moja Sema nlipoteza Beyonce
Alikuwa anavua hereni zake za diamond akiogopa kuibiwa


Ova
 
Nimecheka kifala maywether mzee wa ngumi jiwe nae anao bodyguards the moster na the beast wa wwe nadhani pia wana bodyguard.[emoji23][emoji23]
Unafikiri watu wakija kukuua wanakupiga ngumi,watu wanakuja na AK-47 iyo mieleka utamletea nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…