Mbona wasanii wetu wanachoka kimziki katika umri mdogo?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
416
R.KELLY,P.DIDY,MARIAH KELLY,TONY BRAXTON,SNOOPY DOGY DOGY,JERMAINE DUPRI, hawa wanamziki kwa sasa age yao inagonga miaka 45 to 50. lakini bado wanakamua na song kali hatari.

Tofauti na wasanii wetu wa bongofleva wao wakishafika umri wa miaka 35 to 37 wanakua wamechoka na kustaafu mziki na kuitwa wakongwe.

Swali kwanini wasanii wetu wanaanza kuchoka kimziki wakiwa bado vijana? Mbona kina P.Didy wana 45 lakini wanakumua mbaya?
 

Unatarajia nini
 
Kwasababu wanaoa vizee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…