Mbona Wazungu huwa hawapati ajali huku Tanzania?

Mbona Wazungu huwa hawapati ajali huku Tanzania?

How Old are you sir? Mbona wapo wengi tu wanapata ajali. Fanya utafiti kidogo utaona. Japo wengi wao hutii sheria sana. Jambo nadra kwa sisi waswahili.
Huyo ni wale Form Four walio piga miswaki flat sasa wanamilika smart phone so lazima ukutane na post za aina hii
 
hawana mambo ya mipango ya mungu. ni sisi tunapenda kumsingizia mungu.

Mpaka serikali inasema tumuachie mungu. uzembe,ujuaji kwe sheria za barabara,ukaguzi wa magari na n.k
 
Huna tofauti na mpwayungu village anayeamini mpaka kesho, walimu ndiyo watumishi pekee wa serikali wenye mishahara midogo! Maisha magumu, na wanaokopa sana!!

Kisa tu wako wengi ukilinganisha na watumishi wa kada nyingine.
 
Back
Top Bottom