Kwa nini usinywe tu sumu ili ufe! Maana hata umchukie vipi, haisaidii chochote! Mwenzako maisha yanaendelea, huku wewe ukizidi tu kufa kidogo kidogo kwa msongo wa mawazo na magonjwa ya moyo.
Chuki za mleta nyuzi ziko wapi hapa au kudhihirisha uongo wa mwanahabari uchwara ndo chuki? Kwani ni uongo huyo kitenge ajaleta habari za uongo kuhusu kamwaga? Acha hizo wewe hata kama ni mapenzi yako na utaputapu fc lkn linapokuja suala kama hili ni bora kukaa kimya kuliko ushubwada ulioandika