Hiyo hapo juu ni snapshot ya page yangu ya juu kabisa ninapo-sign in Yahoo! Cha kushangaza mimi siitwi Christa! Mimi ni kidume kwanza! Wajuvi wa mambo haya ya mtandao hebu nitoeni matongo ktk hili....Au kuna mwehu kafanikiwa kuingilia account yangu kinyemela!
Mkuu, yahoo hawawezi kukuita jina ambalo ukujirejista nalo, inawezekana wakati wakujiandikisha ulitumia hilo jina kama first name o last....Pia inawezekana kuna mtu ameingilia e-mail yako aka edit na kuweka ilo jina... chakufanya ingia kwenye A/C yako badilisha password na weka jina unalotaka.
WAPOPO WAShAINGIA HUMO, BADILI USER YAKO NA PASSWORD YAKO TENA, USIKUBALI HATA SIKU MOJA KUKUTANA NA RAFIKI KWENYE (HASA WATU WA WEST AFRICA) MITANDAO NA KUANZA KUKULAZIMISHA UMPE EMAIL YAKO, ILI AKUTUMIE PICHA