Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Mjinga utamjua tu anashabikia ujinga cheo kile wamepita wengi hawakuonyesha ujinga uleKila cheo kina itifaki yake bwashee. Hata hilo hulijui? Nyumbu bila post za kumfagilia makonda hamna kitu kingine cha kuandika ?!
Ule upuuzi aliokuwa anafanya hauna tofauti na upuuzi unaofanywa na wadudu wa chuga ndiyo maana amejenga urafiki na hao wadudu kwani akili zao zinaendanaWadau kama mtakumbuka Makonda alipoteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM aliingia na mbinu ya kushangaza sana ya kwenda kwenye Maeneo ya kukutana na Wananchi kwa kutumia Mkokoteni, Trekta au kupanda Lori n.k.
Baada ya Kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha nilitarajia angeendeleza Mbinu ile ile lakini Sijamwona tena kuingia na Mkokoteni wala Trekta au Lori.
Je Mbinu ile ilikuwa ni MAIGIZO Tu?
Nyumbu mnajulikana tu, hamtumii ubongo kufikiri. Hata haujui maana ya 'different personalities, different actions', unadhani watu watu watafanya yale yale na kwa njia ile ile aliyofanya mwingine. Nyumbu, mkiinamisha vichwa kuanza mbio basi uwezo wa kufikiri unaishia hapo!Mjinga utamjua tu anashabikia ujinga cheo kile wamepita wengi hawakuonyesha ujinga ule
Au kwa akili yako kateuliwa kuwa Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha?? Huu ujinga mnasomea vyuo gani?Wadau kama mtakumbuka Makonda alipoteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM aliingia na mbinu ya kushangaza sana ya kwenda kwenye Maeneo ya kukutana na Wananchi kwa kutumia Mkokoteni, Trekta au kupanda Lori n.k.
Baada ya Kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha nilitarajia angeendeleza Mbinu ile ile lakini Sijamwona tena kuingia na Mkokoteni wala Trekta au Lori.
Je Mbinu ile ilikuwa ni MAIGIZO Tu?
ππ Fungu la kufanyia maigizo limekata. Na huko Arsuha Kila anapokaa anazidi kuwa wa kawaida sana maana fungu la kufanyia hadaa ni dogo.Wadau kama mtakumbuka Makonda alipoteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM aliingia na mbinu ya kushangaza sana ya kwenda kwenye Maeneo ya kukutana na Wananchi kwa kutumia Mkokoteni, Trekta au kupanda Lori n.k.
Baada ya Kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha nilitarajia angeendeleza Mbinu ile ile lakini Sijamwona tena kuingia na Mkokoteni wala Trekta au Lori.
Je Mbinu ile ilikuwa ni MAIGIZO Tu?
Kwani huko Arusha hakuna mikokoteni na Punda, au mikokoteni ni kwa ajili ya mwenezi wa ccm tu?Au kwa akili yako kateuliwa kuwa Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha?? Huu ujinga mnasomea vyuo gani?
Wewe Vyeti feki unayemchukia kila mkataa wizi tuliza mshono!! Hapa nasubiri umtukane Magufuli ili mkono uende kinywaniKwani huko Arusha hakuna mikokoteni na Punda, au mikokoteni ni kwa ajili ya mwenezi wa ccm tu?
Nenda akaukwee mgongo wako!Wadau kama mtakumbuka Makonda alipoteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM aliingia na mbinu ya kushangaza sana ya kwenda kwenye Maeneo ya kukutana na Wananchi kwa kutumia Mkokoteni, Trekta au kupanda Lori n.k.
Baada ya Kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha nilitarajia angeendeleza Mbinu ile ile lakini Sijamwona tena kuingia na Mkokoteni wala Trekta au Lori.
Je Mbinu ile ilikuwa ni MAIGIZO Tu?
Nimecheka kwa nguvu, mwambie huyo muhalifu Makonda aweke vyeti vyake hapa tuendelee na mjadala.Wewe Vyeti feki unayemchukia kila mkataa wizi tuliza mshono!! Hapa nasubiri umtukane Magufuli ili mkono uende kinywani