Mbongo akikuambia Lori ya Tandamu basi elewa kama ifuatavyo...

Hayo malori yanayovuta tela yamezoeleka kwa jina la pulingi, ukiliita tandamu watacheka mpaka kesho make huku chattle tushaaminishwa tandamu ni fuso
Sema huelewi, tandam ni hisi fuso zenye (long base) dabo taili nyuma na zimeongezwa bodi kuwa kubwa kwenda juu na ulefu nyingi zinatengeneziwa moshi hapa stand ya mboya na chuga
Afu puling ni roli ( scania n.k) ambayo kibidini imeungana na bodi ambayo imefunika juu na inavuta tela pia iloyofunika kama picha ya aliyeanzisha thread hapo juu ambayo inaweza beba hadi tani 49 adi 50
 
Kwa hiyo bila shaka neno tandam limetokana na zile double tyres au sio
 
Hizo tandem bycle ni maarufu kwa wenzetu ulaya kwa ajili ya kuendeshwa na watu wenye ulemavu wa macho,kwa maana mtu wa kawaida anakaa mbele anaongoza na yule mwenye ulemavu wa macho anakaa nyuma nae pia ananyonga.
 
KWA MIMI NDUGU YANGU TANDAM NI MZIGOO..ULE AUPENDAO SHEIKH KIPOZEO
 

Attachments

  • 1887574_44804673_316164475646688_1724159449840451309_n.jpg
    77.5 KB · Views: 12
Niliwahi opoa dem chibonge maghetoni...wahuni wakawa wananicheka eti nimeleta tandam magheton0
 
Achana na hizo tafsiri za ulaya ukija nazo bongo utapotea. Kifupi Tandam kibongobongo ni fuso iliyorefushwa bodi au mwanamke mwenye wezere kubwa basi. Hizo baiskeli na scania sijui injini za ndege waachie wazungu. Wakiita hivyo wao inatosha.
 
Alaah kumbe...ngoja nikawaelimishe wasukuma wenzangu...sisi tandamu ni fuso...fuso tandamu roho ya paka...Asante
 
Achana na hizo tafsiri za ulaya ukija nazo bongo utapotea. Kifupi Tandam kibongobongo ni fuso iliyorefushwa bodi au mwanamke mwenye wezere kubwa basi. Hizo baiskeli na scania sijui injini za ndege waachie wazungu. Wakiita hivyo wao inatosha.
We jaluo ya kweli haya!? vipi huko kenya wanawake wenye wezele ndo mnaita tandamu!,!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…