Mboni Show Imepoteza mvuto haraka

Mboni Show Imepoteza mvuto haraka

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
kwanza nampongeza kwa kuanzisha icho kipindi cha talk show.....

kilianza kwa mbwembwe nyingi ikiwa ni pamoja na kuwatafuta maceleb hot wa bongo afanye nao interview.........

kwa muda mchache niliopata nafas ya kukiangalia nimegundua kuwa kipindi hiki kimepoteza mvuto haraka sana...........

nachelea kusema ni kukosekana kwa creativity na handling capabilities or ni nini hasa?

kama ni location is fine,even wageni wapo fine ila kuna kitu kinamiss.............sio show unayoweza kukaa ukaconcentrate kama MKASI

mkasi wala haina jipya sana na wala huwa haina mada maalum........na hawatumii nguvu kama anayotumia Mboni.........

Mboni kaa chini jipange.....angalia show za wenzako za nje zilivyo na msisimko mwanzo mwisho..........otherwise ata upange maceleb mia studio haitasaidia...........

jipange
 
vya dizain kama hyo vipo vingi so it demands a lot of creativity
 
Amtafute dina marios anaweza kumsaidia coz dina ni mkali kwa surprises
 
Nampongeza kuwa na initiative km hii Nilifurahi watz tutakuwa na talkshow ya ukweli yenye kujadili issue zinazogusa jamii kama za kina Oprah or so

Cha kushangaza anaenda kutuletea wanafunzi wa vyuo vya uchochoroni mara Eagle wings college mara sjui nn!

Mboni mwenyewe kuongea hajui utamskia kila saa 'audience wangu, audience wangu' hamna kiswahili cha audience? Mara oooh leooooo tunaongeaaaa kuhusu chuki??? Kuhusu simu,,What the heeeck!

Talkshows zinataka watu wenye upeo mpana wa mambo mbalimbali manake utaongea na watu wa kila tasnia na mwenye art ya kupanga maneno anapoongea, mwenye kuweza kuongea na kila rika siyo kubahatisha tu na kubadilisha nguo.

Kwa kifupi kipindi hakina mvuto. Badilisheni approach!
 
Mimi naona kila mwanamke mrembo hata kama hana kipaji akienda kutaka kuanzisha kipindi anakubaliwa lakini kiukweli sijaona chochote toka katika kipindi hicho na ni kweli hakina mvuto.

Cha maana ataachoambulia labda kupata pedeshee tu, lakini kuhusu kuteka mind za watu ni sifuri kabisa.
 
Talk Show sio mchezo jamani,Bora hata Sporah anajitahidi.....Ngoja niangalie The Monique Show ya BET.
 
mbona kipind kipon shwali tu acheni majungu,pia kukosoa ni kuzuri lakin muwe mnatoa na ushauri afanye nini sasa ili kuboresha,
watanzania ni watu wa kulalamika by lowasa
 
Back
Top Bottom