Mbonie Masimba toa zawadi ya Keki ya ajabu...

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752

Hii ndio keki aliyotoa Mbonie Masimba kwa shogaye kwenye shughuli yake ya jikoni...

Picha za masupa star mbalimbali waliokuwepo kwenye shughuli hiyoooo (SINTA nae ndani....)

masupastaa my asi mashori wa bongo mboan wana vitambi lol...????? cheki shori za kenya kudadadeki totozi sliiiiiiim zikiongea sheng mashaalaah
 
Hiyo keki ni style ya kumtakia kila la heri katika kumpa maviiiituuuz mumewe. Inaashiria ngono zaidi kuliko maisha ya ndoa na kulea familia. Anyway watoto walipendeza kasoro pekee ni vitambi vyao, sijui ndo wanakula sana maugali au??
 
shori za kenya hazina miguu ni kama wanatembelea mikono ndo maana ujanja wao kuvaa suruali za jeans...watoto wa bongo usipime!sura mpaka miguu
 
Hiyo keki ni style ya kumtakia kila la heri katika kumpa maviiiituuuz mumewe. Inaashiria ngono zaidi kuliko maisha ya ndoa na kulea familia. Anyway watoto walipendeza kasoro pekee ni vitambi vyao, sijui ndo wanakula sana maugali au??

vitambi vya taska hivo na vitimoto kule miti mirefu
 
Hii ndio keki aliyotoa Mbonie Masimba kwa shogaye kwenye shughuli yake ya jikoni...

Picha za masupa star mbalimbali waliokuwepo kwenye shughuli hiyoooo (SINTA nae ndani....)

huyu ni yule sinta mwigizaji, duu nilishamsahau
 
Mikorogo jamani khaaa!! Sinta cheupee au mapoudwa??
 
masupastaa my asi mashori wa bongo mboan wana vitambi lol...????? cheki shori za kenya kudadadeki totozi sliiiiiiim zikiongea sheng mashaalaah
Ala! hivi kweli ulihamia Nairobbery ? unakaa wapi mathare au Kibera ?
 
Hiyo keki ni style ya kumtakia kila la heri katika kumpa maviiiituuuz mumewe. Inaashiria ngono zaidi kuliko maisha ya ndoa na kulea familia. Anyway watoto walipendeza kasoro pekee ni vitambi vyao, sijui ndo wanakula sana maugali au??

Iko kiafrika kabisa,amburudishe nani zaidi,ndo msingi wa ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…