Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wasalaam wana jamvi! Kheri ya mwaka mpya 2019!
Ni ukweli ulio wazi kabisa Maromboso a.k.a Mboso ni mmoja ya wasanii bora na walio moto sana.....
Ukimsikikiza vyema Mboso utagundua kuwa Kassim mganga ameshapata mtoto wake kwenye nuziki wa mahaba hasa ladha ya pwani!
Pamoja na Mboso kuwa kwenye management yenye nguvu lakini ana uwezo mkubwa kabisa hasa kwenye
Melody na utunzi
Kusema kweli nwanzo huyu kijana sikumuelewa kabisa lakini baada ya kumpa sikio langu hasa kwenye nyinbo zake mbili za Hodari na Tamu nimegundua ni mmoja wa watunzi wazuri sana pale WCB.
Kwakweli huyu kijana amefata vyema nyayo za Kassim na bila shaka Kassim hufurahi akimsikia.
Huyu in mrithi mahiri kabisa wa Kassim mganga.
Wasalaam
Sent using Jamii Forums mobile app