Mbosso anapania sana kwenye nyimbo zake: Wimbo huu umeniimbia kabisa!

huyu jamaa daftari lake la mashairi bora liibiwe tu

Wakuu Huyu jamaa sijuhi nyimbo zake anatunga akiwa uchi
 
hata mm hio nyimbo naipend sana ila mbosso sio mchezo au anatumia kamzizi? anajua had anaboa
 
Bila kuweka wimbo huo hapani porojo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…