music mimi JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 485 Reaction score 876 Aug 10, 2018 #1 Msanii toka WCB WASAFI, almaalufu Mbosso Khan anaongoza kwa wimbo wake mpya kununuliwa nchini Kenya. Wadau tumpe pongezi nyingi.
Msanii toka WCB WASAFI, almaalufu Mbosso Khan anaongoza kwa wimbo wake mpya kununuliwa nchini Kenya. Wadau tumpe pongezi nyingi.
music mimi JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 485 Reaction score 876 Aug 10, 2018 Thread starter #2 Chat hiyo
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Aug 10, 2018 #3 Asije kulialia baadae kwamba mkataba haueleweki
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Aug 10, 2018 #4 sonofobia said: Anajitaidi lakin naona analipa deni la gari Click to expand... ashamaliza toka wa 6
Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,065 Reaction score 18,358 Aug 11, 2018 #5 Vizuri sana sio mda mrefu atampita hata Drake kwenye Billboard chart top 100! Maana hapo amekamlisha
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Aug 12, 2018 #6 Hongera kwa Kumzidi Drake ππππ.