Mbosso asema sijasema nimenunua nyumba amjia juu Mwijaku

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Msanii mbosso amesema hakuna sehemu nimesema nimenunua nyumba nilichofanya ni kuwashukuru mashabiki wangu walioniwezesha nimepata nafasi ya kujiifadhi lakini sijasema nimenunua nyumba.
Hatahivyo mbosso amemjia juu Mwijaku ambae alisema nyumba hiyo amepanga na amedanganya umma
Mbosso amesema haiwezekani mwanaume mzima unaenyoa kipara unafutilia Mambo ya mwanaume mwezio na kuropoka inawezekana sio mwenzetu
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakusema km Nyumba ni yake jamani.. Yy Ameshukuru mashabiki zake kwa support wanayompa hadi kufikia kupata makazi mazuri.. Huenda zaman alikua anakaa kwenye mazingira Duni, Mbosso hana tabia za majigambo, kuna interview moja niliona Rommy jones aliulizwa tabia ya kila member wa WCB na alieleza sifa zao, Mbosso pekee ndie alietajwa kwamba anahofu ya Mungu mno.
 
The bartender🏄🏄
 
Niliona mbosso alipost instagram kwamba anamiliki mjengo na alisema kabisa inawezekana kwa wengine ni kidogo ila kwake ni kitu kikubwa sana hadi diamond,rayvan wakampogeza kwa mjengo huku wakimwambia unastahili huo mjengo labda kama ameifuta hiyo post,lakini kwa mujibu alivyopost alikuwa anautaarifu umma kwamba suport yao imempa mjengo.
 
Sallam hana nyumba ana kiwanja tu Mbweni Kijijini bado hajajenga ila ana mpango wa kujenga ghorofa kwa mujibu wa mtu anayemuagalizia eneo lake.
Vp harmonize ashapata nyumba yake, maana kama shilole ananyumba inakuaje wao wakose nyumba wakati WCB inajina kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…