Kuna watu wapo free sana aisee! unapata wapi muda wa kuanza kufuatilia maisha ya mtu? Nyumba kama yake au sio yake,wewe inakusaidia nini?!
Fainali uzeeni,tuutumie vizuri muda wetu tunaojaaliwa na Mungu.
Mwinjaku anapenda USHAKUNAKU anajifanya anajua kila kitu na SILKA yako mbovu unajiweka mbali na sifa ya URIJALI.wanakushangaa wasokujua kirehre here chako umefuzu maana hujaanza leo toka enzi upo UDSM mpaka wanazengo wakabandika picha kukuhusisha na tuhuma za UDELICIOUS.