Mbosso balozi mpya wa maziwa ya Tanga Fresh

Mbosso balozi mpya wa maziwa ya Tanga Fresh

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
Kampuni ya maziwa ya @TangaFresh leo Septemba 17, 2020, imeingia mkataba na msanii wa bongo fleva @mbosso_ kuwa balozi wa bidhaa za maziwa ya kampuni hiyo, kushoto kwenye picha ni Alex Chonge meneja masoko wa kampuni hiyo.

20200917_132148.jpg
 
Msanii Mbosso Khan a.k.a mshedede amepata leo dili la kuwa balozi wa company kubwa ya maziwa na kongwe ya Tanga Fresh.Work hard pay off.

Big up to him
 
Dili ni la sh ngap? Si mtwambie , Dili la Pepsi Kwa diamond tuliambiwa ni mil 1000, la crdb harmonize tukaambiwa ni mil 200 wengne wakadai mil 400 , hili la mbosso ni sh ngap wazee??
Wao wenyewe wamesikia kama sisi watajulia wapi?
 
Haya Sasa Kawa balozi kwa. Hyo nyie kunyweni maziwaaaa Sasa

Ova
 
Hivi Kwanini Rayvanny hanaga Endorsement ata moja??
 
Si Kampuni inakuona kama una'influence katika jamii na una uwezo wa kuwa balozi katika bidhaa yao..Sasa Mbosso ana Influence zaidi ya Rayvanny??ndo nachowaza..!!
Ukimtoa diamond msanii anayefuata kwa endorsement Ni shishi baby na hamisa mobeto je shishi ana influence kubwa kuliko wasanii wote ukimtoa diamond?
 
Shishi tena??ebu ntajie endorsement 4 za Shishi ukitoa Ya GSM Coconut cream??
Ukimtoa diamond msanii anayefuata kwa endorsement Ni shishi baby na hamisa mobeto je shishi ana influence kubwa kuliko wasanii wote ukimtoa diamond?
 
Back
Top Bottom