Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Na hizo nafasi huwa wanateuliwa na rais au?
Umoja wa Vichaa na Chinja Chinja wa Mataga ( UVCCM )UVCCM
Huyo kushoto umedanganya mkuu, ni Ally SichongeKampuni ya maziwa ya @TangaFresh leo Septemba 17, 2020, imeingia mkataba na msanii wa bongo fleva @mbosso_ kuwa balozi wa bidhaa za maziwa ya kampuni hiyo, kushoto kwenye picha ni Alex Chonge meneja masoko wa kampuni hiyo.
Wao wenyewe wamesikia kama sisi watajulia wapi?Dili ni la sh ngap? Si mtwambie , Dili la Pepsi Kwa diamond tuliambiwa ni mil 1000, la crdb harmonize tukaambiwa ni mil 200 wengne wakadai mil 400 , hili la mbosso ni sh ngap wazee??
Kwani endorsement anapanga msanii au company?Hivi Kwanini Rayvanny hanaga Endorsement ata moja??
Jane Lowassa Wewe una Nini Cha maana?Hayo maziwa yana nn cha maana?
Si Kampuni inakuona kama una'influence katika jamii na una uwezo wa kuwa balozi katika bidhaa yao..Sasa Mbosso ana Influence zaidi ya Rayvanny??ndo nachowaza..!!Kwani endorsement anapanga msanii au company?
Ukimtoa diamond msanii anayefuata kwa endorsement Ni shishi baby na hamisa mobeto je shishi ana influence kubwa kuliko wasanii wote ukimtoa diamond?Si Kampuni inakuona kama una'influence katika jamii na una uwezo wa kuwa balozi katika bidhaa yao..Sasa Mbosso ana Influence zaidi ya Rayvanny??ndo nachowaza..!!
Ukimtoa diamond msanii anayefuata kwa endorsement Ni shishi baby na hamisa mobeto je shishi ana influence kubwa kuliko wasanii wote ukimtoa diamond?