Mbosso, Diamond washinda tuzo za Hipipo Uganda

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Tuzo kubwa za muziki nchini Uganda , Hipipo Music Awards (Hall of Fame) , zimefanyika siku ya Jana huko Kampala na Kushuhudia wasanii tokea Lebo ya WCB , Diamond Platnumz pamoja na Mbosso wakiiwakilisha vyema Tanzania kwa Kuondoka na jumla ya tuzo tatu (3)

Katika tuzo hizo ambazo mwaka huu zimefanyika bila sherehe kutokana na Janga la Corona , Diamondplatnumz ameondoka na tuzo mbili ambazo ni Wimbo bora wa Afrika Mashariki (THE ONE) na Msanii Bora wa Tanzania. Huku Mbosso_Mshedede akishinda tuzo ya Africa Fans Favorite Fresh Talent (Msanii mpya , Kipenzi cha Mashabiki Barani Afrika)

2414718_1591000753224.jpg
 
Hyo wala haitushtui team kiba maana tumeshinda nyingi ila hatujioneshi
 
Harmonaizi albamu yake imewekwa kwenye albamu bora ya mwaka kwenye tuzo za grammy na mtv sema ndio covidi imezuia hizo sherehe
 
Mbosso naye ameshinda kwenye kipengele Cha "Africa fan favorite fresh talent".Ungempost mbosso kwa diamond Ni tuzo ya kawaida Sana.
 
Tuzo kubwa za muziki nchini Uganda , Hipipo Music Awards (Hall of Fame) , zimefanyika siku ya Jana huko Kampala na Kushuhudia wasanii tokea Lebo ya WCB , Diamond Platnumz pamoja na Mbosso wakiiwakilisha vyema Tanzania kwa Kuondoka na jumla ya tuzo tatu (3)

Katika tuzo hizo ambazo mwaka huu zimefanyika bila sherehe kutokana na Janga la Corona , Diamondplatnumz ameondoka na tuzo mbili ambazo ni Wimbo bora wa Afrika Mashariki (THE ONE) na Msanii Bora wa Tanzania. Huku Mbosso_Mshedede akishinda tuzo ya Africa Fans Favorite Fresh Talent (Msanii mpya , Kipenzi cha Mashabiki Barani Afrika)

1591000753224.png
 
Hongera kwa Mboso na domo.Wanatuwakilisha vyema
 
Back
Top Bottom