crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Bila shaka umeona sasa!Picha haifunguki ila najua itakua Tuzo Uchwara
Hivi bado King Kiba ni mshindani wa Diamond, au ndio amekubali kushindwa na kusanda game?Picha haifunguki ila najua itakua Tuzo Uchwara
Lini Kiba alikwambia anashindana na Mtu..Hivi bado King Kiba ni mshindani wa Diamond, au ndio amekubali kushindwa na kusanda game?
si alitaka kiti wamempa hadi kitanda akalaleLini Kiba alikwambia anashindana na Mtu..