Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wakuu,
Kwa mwanzo huyu jamaa hakueleweka sana alipoingia wasafi tofauti na alipokuwa yamoto. Hata mimi sikuwa namkubali Sana wala kumfuatilia sana ila nimekuja kuona na kugundua huyu ni msanii full package kabisa.
Anaimba ngoma za aina nyingi sana, hii tulizana remix aliyoimba na njenje Band wenye huo wimbo kwa kweli nina imani utakukosha sana. Na uzuri namba zake zinaongea anakimbiza sana huyu dogo. Sio bosi wake anatuimbia sijui "magodoro yameloana" then what?
Mtakuja kuniambia baadae kuhusu haya.