Pre GE2025 Mbowe acha kuhadaa wanachi ni Aibu

Pre GE2025 Mbowe acha kuhadaa wanachi ni Aibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Leo tumeshihudia Mzee Mbowe akiwahda watanzania kwa kuandaa vijana ili aonekana bado anapendwa ndani ya chama.

Watanzania wenzangu tunalo jambo kubwa sana la kujifunza kwa huyu mzee kuwa ni hatari sana kumpa madara mwananchi mwenye elimu duni kama mzee Mbowe ni lazima atangangania madara tu.

Watanzania wanashana na Mzee Mbowe nae anawashangaa🙆‍♂️🙆‍♂️😁
 
Leo tumeshihudia Mzee Mbowe akiwahda watanzania kwa kuandaa vijana ili aonekana bado anapendwa ndani ya chama .
Watanzania wenzangu tunalo jambo kubwa sana la kujifunza kwa huyu mzee kuwa ni hatari sana kumpa madara mwananchi mwenye elimu duni kama mzee Mbowe ni lazima atangangania madara tu .
Watanzania wanashana na Mzee Mbowe nae anawashangaa🙆‍♂️🙆‍♂️😁
Andika vizur basi ukiwa umetulia
 
Leo tumeshihudia Mzee Mbowe akiwahda watanzania kwa kuandaa vijana ili aonekana bado anapendwa ndani ya chama.

Watanzania wenzangu tunalo jambo kubwa sana la kujifunza kwa huyu mzee kuwa ni hatari sana kumpa madara mwananchi mwenye elimu duni kama mzee Mbowe ni lazima atangangania madara tu.

Watanzania wanashana na Mzee Mbowe nae anawashangaa🙆‍♂️🙆‍♂️😁
Hii nguvu na muda mnaotumia kuongelea uchaguzi wa chadema..mngetumia kuiambia serikali iwarudishe Soka, Mbise, Chaula na wengine waliotekwa au kuiambia serikali ieleze uchunguzi wa mauaji ya Mzee Kibao ymefikia wapi..kungekuwa na tija sana! na hapo ndio mlicho nacho kichwani mwenu kinaonekana mko upande gani na mna lengo gani..!
 
Back
Top Bottom