Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Vyombo vya habari vinaripoti kuwa wanachama wamevamia nyumbani kwa mBOWE kumsihi achukue fomu za kugombea uenyekiti wa chama hicho ili akamkabili msanii Tundu Lissu.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Wafuasi CHADEMA wavamia nyumbani kwa Mbowe kumlazimisha achukue Fomu ya kugombea Uenyekiti
Yapo mambo ya kujiuliza na kufikirisha sana, kwanza huko nyumbani kwake Mbowe Mikocheni kumeshaandaliwa hema likiwa tayari na viti, maspika na podium ya kuongea, pili bodaboda tangu jana walikuwa wanahamasishwa kuna mafuta na posho ya bure kwenda nyumbani kwa Mbowe, aliyenfanya kazi hiyo ni mwenyekiti wa bodaboda mikocheni, tatu, kwenye nyumba ya mbowe kuna soda na maji kwa wageni.
Hilo ni jambo la kushtukiza kweli? Shame on you