Mpambalyoto
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 752
- 3
vijana wa green guard hawana akili na Fuya ameshashindwa, walicofanya hakina maana... lakini mbowe ameonyesha upuuzi mkubwa kama mwenyekiti wa chama kushindwa kumalizia mkutano na kufuata utaratibu wa sheria (ambao yeye kwa wilaya ya hai ana priviledge hiyo kubwa tu na anaijua) kumtoa kijana wake
Kama tunalaani violence, basi tuifanye kwa vitendo... kwa kwenda kufanya mambo ya tambaza nimesikitika sana
siamini mtu mwenye staha anaweza kuvunja mkutano kwenda kuokoa kwa staili ya kibohehe, mringa au tambaza
angetuma vijana
Nimesikitishwa na green guards lakini nimesikitishwa zaidi na mbowe
ukifanya ya kipumbavu na mpumbavu, watu hawatajua tofauti yenu
Mamaaaaaaa,tunaenda wapi huku?????
Kwani hawa walinzi wa kijani wana umuhimu gani?????
Inamaana polisi wooooote wanao watumia waha toshi hadi watumie green guard????
haijalishi maneno amngapi unaandika... mbowe amejastifai lengo la chama cha mafisadiUlichotoa hapo, na walichotoa wana ccm (kadogoo na Anfaal) vina tofauti gani? nimetumia neno spin za wanaccm, kama hii inakufanya wewe mwanaccm so be it.
Ngoja nikukumbushe jambo moja, miaka fulani iliyopita wakati mkapa akiwa preziii. CUF walifanya mkutano kigamboni (au temeke) kama sikosei. Polisi kama ilivyokuwa kawaida yao wakati wa uongozi wa mkapa, wakaenda wakatoa kipigo cha nguvu sana. Watu wengi sana waliumizwa na kupelekwa polisi. I know this kwa sababu nilikuwepo kwenye mkutano huo.
Mkutano uliofuatia, CUF wakampeleka Lipumba akasaidie kwenye kampeni. Polisi kama kawaida yao, wakatoa dozi kwa wafuasi wa CUF (this time wakampiga Lipumba). Lipumba akaumizwa mkono kutokana na kipigo. Kwa kuonesha solidarity kwa wanachama wake, Lipumba "akalizimisha" kukamatwa pia na polisi. Vyombo vya habari vikachukua picha... the next thing we know, picha zinaoneshwa kwenye TV na kwenye magazeti Lipumba akiwa kafungwa bandage akielekea kwenye tinga tinga la polisi.
Hiyo publicity ilikuwa too much for Mkapa to handle. Since then, polisi walianza kuwa na adabu kwenye mikutano ya CUF. Kama Lipumba angeingia mtini na kuacha wanachama wake, nadhani risasi za moto zingetumika kuwafagilia mbali.
Katika kampeni za upinzani, polisi wanatoa "heshima kidogo" kwa viongozi wa kitaifa. Wanachama wengine ni sisimizi tu wasio na thamani yoyote ile.
Mkuu Kamende ameleta habari, imejadiliwa. Inaonekana mambo si shwari. Sasa tusubiri taarifa ya Gen. Emeritus Shimbo. Prof. Kinana na Dr. Makamba kwa upande mmoja na ya Ndugu Baregu na Mabere Marando kwa upande mwingine. Bado natafakari
usidandie treni kwa mbele..Mbowe alitaka kumwaga damu watu? huyu jamaa ni mtu hatari sana hasa kwenye maswala ya maslahi yake anaweza mtoa uhai wa mtu...
Huyu hawezi pata ubunge hai, anakubalika kwao tu Machame pekee ndiko anakokubalika,swala la ubunge kwa kipindi hiki asahau kwa kweli ..
haijalishi maneno amngapi unaandika... mbowe amejastifai lengo la chama cha mafisadi
wapinzani wagomvi.... mie nimekulia uswazi na najua visa vya jiraniambalo ni lipi?
Bana eeeh sasa hii nchi tuingie vitani tu..hii mambo ya kusema amni ni upumbavu tutwangane tuuwane ndo tutaheshimiana.. yes i said it !!! TUINGIE VITANI
Ulichotoa hapo, na walichotoa wana ccm (kadogoo na Anfaal) vina tofauti gani? nimetumia neno spin za wanaccm, kama hii inakufanya wewe mwanaccm so be it.
Ngoja nikukumbushe jambo moja, miaka fulani iliyopita wakati mkapa akiwa preziii. CUF walifanya mkutano kigamboni (au temeke) kama sikosei. Polisi kama ilivyokuwa kawaida yao wakati wa uongozi wa mkapa, wakaenda wakatoa kipigo cha nguvu sana. Watu wengi sana waliumizwa na kupelekwa polisi. I know this kwa sababu nilikuwepo kwenye mkutano huo.
Mkutano uliofuatia, CUF wakampeleka Lipumba akasaidie kwenye kampeni. Polisi kama kawaida yao, wakatoa dozi kwa wafuasi wa CUF (this time wakampiga Lipumba). Lipumba akaumizwa mkono kutokana na kipigo. Kwa kuonesha solidarity kwa wanachama wake, Lipumba "akalizimisha" kukamatwa pia na polisi. Vyombo vya habari vikachukua picha... the next thing we know, picha zinaoneshwa kwenye TV na kwenye magazeti Lipumba akiwa kafungwa bandage akielekea kwenye tinga tinga la polisi.
Hiyo publicity ilikuwa too much for Mkapa to handle. Since then, polisi walianza kuwa na adabu kwenye mikutano ya CUF. Kama Lipumba angeingia mtini na kuacha wanachama wake, nadhani risasi za moto zingetumika kuwafagilia mbali.
Katika kampeni za upinzani, polisi wanatoa "heshima kidogo" kwa viongozi wa kitaifa. Wanachama wengine ni sisimizi tu wasio na thamani yoyote ile.
wapinzani wagomvi.... mie nimekulia uswazi na najua visa vya jirani
ccm hawana sera na walijua udhaifu wa mbowe... mbona hawakwenda kwa zitto? mbona tarime hawakumchanganya mgombea?