Elections 2010 Mbowe Afanyiwa Fujo Kubwa Hai

Hiyo damu ni zaka ya kutukabidhi taifa letu..............yaeleka Jk hajui ajira nyingine zaidi ya IKULU
 
Mbowe ni mtu hatari sana, ana hatarisha amani ya nchi hii kwa maneno yake ya kichochezi, na sasa ametuonyesha nia yake ya dhati ya kutaka kumwaga damu.

Mwakazi wa Hai mtoseni huyo hawafai, ila kura ya urais mpeni Dr.Slaa
 
Eti "Hii haina tofauti na kujichukulia hatua mkononi kwahiyo tunasahau utawala wa sheria huku tukiwa wahubiri wakuu wa hali hiyo."


HIVI BABA ALIYE MTAWALA WA FAMILIA AU MAMA - AKIFANYIWA FUJO NA MWANAE (TENA MDOGO) ATACHUKUA HATUA GANI??? YAANI ANYAMAZE TU KWANI KUNA UTAWALA WA SHERIA - HAO GREEN GUARDS - WANA WADHIFA GANI KWA TAIFA LA TANZANIA - NI VIBARAKA TU WALIO-CHAKACHULIWA AKILI ZAO NA UFAHAMU WAO - MAISHA YAO WOTE HAO NI DUNI - WAFANYE FUJO HATA VIPI - MAISHA YAO YATABAKI DUNI - MAFUNZO WALIYOFUNZWA WAMEPEWA ALLOWANCE KIASI GANI??? WATAPATIWA AJIRA BAADA YA HIZO FUJO ZAO?? - YAANI NI WAJINGA KUSHINDA WANAVYOJIELEWA - WAMEKUWA BRAIN -WASHED - NA MWISHO WA SIKU NDIO WANAKUWA MAJAMBAZI
- WANAJISUMBUA - THIS TIME WATANZANIA WAMEAMUA - ....................... HAKUNA KUDANGANYIKA MTU!!!!!!!!!!!!!!!!!!

POLE SANA MH. MBOWE KWA KUVUNJIWA HESHIMA NA STUPID GREED GUARD BOYS!!! MUNGU ATAWASHUGHULIKIA ONE BY ONE .........
CCM INAONA WIVUUUUUUUUUUU .................... HEEEEEEEEEE................... WAMESHINDWA KUFICHA WIVU WAO - CHADEMA INAKUBALIKA
WAPENDE WASIPENDE - NDIO NIMEANDIKA TENA KIUSHABIKI ............................
 
Hiyo damu ni zaka ya kutukabidhi taifa letu..............yaeleka Jk hajui ajira nyingine zaidi ya IKULU
hahahaha hahaha. si bure akipewa miaka mitano tena atastruggle kwa miaka hiyo kubadili katiba kuondoa ukomo wa urais. hahahahaha
 
Kwa nini serikali inakaa kimya juu ya haya matukio jamani tunakwenda wapi? Haya madaraka watu wanayapigania hivyo !lakini hawa vijana wanajua watendalo?
 
Mbowe ni mtu hatari sana, ana hatarisha amani ya nchi hii kwa maneno yake ya kichochezi, na sasa ametuonyesha nia yake ya dhati ya kutaka kumwaga damu.

Mwakazi wa Hai mtoseni huyo hawafai, ila kura ya urais mpeni Dr.Slaa
Kwa hiyo amewachochea green guards wakamfanyie vurugu?
naona unaishi ndani ya kiatu cha fungus wewe. huoni?
 
Inasikitisha na inatisha!!

Hivi Jeshi la Polisi ambao ndiyo kazi yao kulinda na kuangalia usalama wa raia wakti mikutano ikiendelea walikuwa wapi???????????
Unaposoma katikati ya mistari(reading between the lines)inadhihirisha wazi kabisa hii KAULI YA KUMWAGIKA DAMU NI MKAKATI MAALUMU WA CHAMA TWAWALA-CCM WA KUJENGA MAZINGIRA YA MAKUSUDI ILI DAMU IMWAGIKE!!!HILI LIKO WAZI HALIHITAJI MPIGA RAMLI KUJUA MKAKATI HUU WA KISHENZI NA KINAFIKI UNAORATIBIWA NA CCM!!!

KILA Mtanzania makini anajua kabisa kuwa CCM wameweka mkakati wa kuvuruga uchaguzi wa mwaka huu. Sikiliza mikutano ya Wagombea wote wa CCM kuanzia JK mwenyewe sasa hivi kila mahali wanahubiri DAMU KUMWAGIKA wakiwalenga wapinzani na hasa CHADEMA. Kwamba ati wapinzani wanasema, ''lazima waingie ikulu hata kama ni kwa kumwaga damu''. Haya ni maneno ya uchochezi yaliyoratibiwa kwa makusudi kabisa. Tumemsikia Dr. Slaa akitamka wazi kabisa na kunukuliwa na vyombo vya habari kuwa, ''KAMA NI KUMWAGA DAMU YA MTANZANIA NDIPO AINGIE IKULU HAYUKO TAYARI NI AFADHALI HUO URAISI AUACHIE''.

Kwa hiyo CCM wameshajipanga kwa kuwatumia GREEN GUARDS kuanzisha vurugu ili watu wapigane na DAMU IMWAGIKE na CCM kwa kutumia dola POLISI NA JWTZ wawakamate wapinzani kuwa ndiyo wanaosababisha DAMU KWAMWAGIKA!!!

Kwa sasa POLISI na JWTZ wanajifanya hamnazo kana kwamba hawajui nini kinaendelea kumbe wanajua kila kitu A mpaka Z. Kwa hiyo haya matukio ya Hai na Tarime is just a tip of an iceberg. Hali itazidi kuwa mbaya zaidi kadri siku ya tarehe 31/10/2010 inavyokaribia.

Ni hitimishe kwa kusema kuwa CCM mwaka huu wa 2010 wanatupeleka siko. Nawashauri waitishe kikao cha CC/NEC or whatever ili wabadilishe hii mikakati yao ya KUTAKA KUINGIA IKULU KWA GHARAMA YOYOTE HATA KAMA NI KUMWAGA DAMU za watanzania. KILA MTANZANIA ANAJUA KUWA CCM NI WAZOEFU WA KUMWAGA DAMU. YALIYOTOKEA KULE ZANZIBAR UCHAGUZI WA MWAKA 2000 AMBAKO DAMU ILIMWAGIKA NA WATU 25 WAKAPOTEZA MAISHA. CCM WASIFIKIRI TUMESAHAU BADO TUNAKUMBUKA SANA.

Jana tu tumeazimisha miaka 11 tangu mwasisi wa Taifa hili marehemu NYERERE ambaye ndiye aliifanya Tanzania iwe kisiwa cha Amani lakini CCM ya kina Kikwete, Mkapa, Makamba, Kinana,Kingunge,n.k imeamua KUONDOA AMANI TANZANIA. Marehemu Nyerere alikuwa na semi zake zenye hekima na msemo huu naukumbuka vizuri, kuwa MTU UKIZOEA KULA NYAMA YA MTU HUWEZI KUACHA. CCM WAMESHAKULA NYAMA YA MTU MWAKA 2000 WALIPOUA WATU 25 KWASABABU YA KUTAKA KUINGIA IKULU KWA NGUVU. KWA HIYO HATA MWAKA HUU HATUTASHANGAA KAMA WATAUA WATANZANIA KWA IDADI WANAYOTAKA ILI WABAKIE KWENYE MADARAKA. KILA MPENDA AMANI ANAJUA KABISA KUWA CCM WAMEJIANDAA KWA HILO.

Hofu yangu ni kuwa kile kilichotokea kwa jirani zetu Kenya mwaka 2007 kwenye Uchaguzi wao Mkuu ambako Kibaki alishindwa vibaya sana akaamua kujitangaza kuwa mshindi na baada ya hapo kilichofuatia ni ilikuwa mauji ya halaiki. Hiyo hali inainyemelea Tanzania kwa mwaka huu labda CCM wabadilike katika hizi wiki mbili zilizobaki.

Mchoraji maarufu wa Magazeti ya Kenya GADO alichora kwenye Gazeti la THE EAST AFRICAN mara tu baada ya Kampeni za Uchaguzi kuanza. Kwenye Kibonzo hicho kilionyesha wagombea URAIS wako kwenye running tracks zao wakizipiga mbio kwelikweli. JK alionyeshwa amewaacha wenzake kwa karibu! Dr. Slaa akionekana ni wa pili nyuma ya JK huku mkono wake umefungwa bandeji(alipoanguka bafuni Mwanza) na Prof. Lipumba naye anaonekana nyuma ya Dr. Slaa. Wagombea wengine wako mbali kiasi hata hawaonekani. Lakini hata kabla hajafika mwisho wa marathon hizo JJK anaonekana tayari yuko mbele ya Jaji Mkuu akiapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Watanzania wenzangu tukaeni mkao wa hali ya hatari. Lolote laweza kutokea kwenye Uchaguzi wa mwaka huu hasa baada ya kuona CCM wameishiwa pumzi na wanahaha na kutapatapa ili wajinusuru. Katika mazingira kama hayo CCM watafanya lolote ili wabakie madarakani.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mbariki DR. SLAA.
 

hao polisi wako upande wa ccm ndio maana mbowe akaamua kwenda mwenyewe.
 
Mbowe ni mtu hatari sana, ana hatarisha amani ya nchi hii kwa maneno yake ya kichochezi, na sasa ametuonyesha nia yake ya dhati ya kutaka kumwaga damu.

Mwakazi wa Hai mtoseni huyo hawafai, ila kura ya urais mpeni Dr.Slaa

Kwa hiyo ulitaka Mbowe afe Kikondoo?
I cant imagine mawazo haya yanatoka kwako. Hivi nani anahatarisha Amani kati ya Mbowe na JK?
 
duuu hivi vyombo vya usalama si ndo Muda wake wakufanya kazi badala ya kuongea na kutishia tuu!
 
Nilishasema na anendelea kusema kwamba CCM WAPO RADHI KUMWAGA DAMU YA WATANZANIA ILI WATANZANIA WAWAPE UHALALI WA KUTAWALA.

Tukatae hii hali. naamini hao watu wa vyombo vya usalama wanaoingia ktk mipango ya ccm ni kwa hulka zao na sheria ipo mgongoni mwao inawangojea wamalize wanachokitaka kisha iwahukumu.
 
Hapa polisi wasilaumiwe kwani hao GG wa hai ni kikundi cha vijana kilichokuwa kikijulikana kama NDIKI MAZEE miaka ya nyuma. Walikuwa waporaji,wabakaji na wauaji wa kulipwa. Binafsi nilikuwa member na tulilipwa tumfanyie Mkapa fujo 1995 hadi akaenda kufichwa nyumba ya mwana sisi m mmoja pale karibu na uwanja wa Tolu (alipokuwa Mbowe jana). Nilimwagia Mkapa mbege kwa mkono wangu ila polisi hawakuweza kunikamata kwani nilikuwa ninalindwa hasa. Hadi sasa polisi wana bifu na kikundi hiki na nina imani walitaka wauwawe wote. Kuhusisha kikundi hiki ni kusafishia Mbowe njia kwani hakuna anayewakubali vijana hawa hata wazazi wao.

Dare to challenge me!
 
Kamende, thanks for this post, This type of information will always be useful for the destiny of our Country. however i have my reservation on the way the information has been presented: In first place you informing Tanzanias that there is well trained 5000 green guards in the country, you are however telling us that non trained CHADEMA (black?/yellow?/ white?/ dalmatian?) did beat the greanguards. Are these g/guards realy trained?!. where did the CHADEMA guars take their training?. am more concern over the first chap who were seized by Chadema guard: how may i differentiate this man from a mere poor boy who was just offered a green/yellow t.shirt or scurf and happed to weil toward CHADEMA campaign only to be turtured as a green guard?. To say a few; you made a biased presentation.

 
Hawa Green Guard au MUNGIKI ni noma, na nina imani kabisa mwaka huu lazima damu nyingi imwagike kwani tayari dalili tunaziona huko mara na moshi, CCM ndio vinara wa kumwaga damu na wao wao ndio wanajifanya wanataka amani na utulivu, jamaaaaaaaaa tumechoka na usanii huu kama ni mbwai mbwai tu.Hatutarudi nyuma hadi kieleweke.
 
Pasco, nikikusoma naona ni mtanzania mwenye busara, lakini unasikitisha badala ya kulauma chama kinachotoa mafunzo ya kijeshi kwa wanajeshi wa kijani wewe unalaumu waliovamiwa?
Watanzania, kwanza nakushukuru uliponisoma na kuniona kama nina busara ila sasa nakusikitisha. Naomba tuu niendelee kukusikitisha lakini ndio nakuokoa kuliko kukufurahisha huku nakuangamiza.

CCM inatumia technic ya provocation, inawaprovoke Chadema ili Chadema wafanye fuja, CCM ipate sababu ya kufanya hicho ilichokusudia. Kwa Chadema kuingia katika mtego huo, ndio kuwapa CCM ilichokitaka. Kama unaangalia michezo ya boxing au mieleka, provocation ina play a big role, kwa vile mtu akiwa provoked ana loose sense of reasoning na kufanya lolote, hii ndiyo style ya CCM kuwachokoza Chadema, wapoteze sense of direction na kufanya visivyo.

Siwatetei CCM wala siungi mkono fujo za aina yoyote kwenye campaign, lakini Chadema, hawana sababu ya kuingia line kwenye hiyo mitego ya panya. Niliuliza baada ya kumdhibiti yule kijana mleta fujo, kwanini walimdetain/ abduct badala ya kumpatia kichapo na kisha kumkabidhi mahala palipostahili?

Mimi siku zote khuwa natao tuu mawazo yango sio kwa lengo la kuwafurahisha mashabiki wa siasa, kwa kwa ukweli ninaouona machoni kwangu kwa kupitia mtazamo wangu, hivyo kufikia siku ya kupiga kura, kunauwezekanio mkubwa nikawasikitisha wengi tuu, sio wewe pekeyako.

Asante.

Pasco
 
Pole sana mbowe na wanachama wa Chadema! naomba justice ifanyike.
 
mh!hii ni hatari kubwa!sijui kama kama mwaka huu tutapita salama!
 
YeshuaHaMelech, polisi wetu wapi hao, unamaanisha hawa hawa polisi wetu wa CCM?.
 

Kati yangu na WEWE ni nani MPUUZI? ebu angalia upuuzi ulioandika hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…