Elections 2010 Mbowe Afanyiwa Fujo Kubwa Hai


Kaka,

Hivi tofauti na Taarifa hii iliyoletwa na KAMENDE ambaye ni kigogo wa CHADEMA, Mgombea na pia mratibu wa kampeni za chadema huko kuna taarifa nyingine tofauti uliyoitumia katika kutengeneza na kutoa msimamo wako?


Nasubiri taarifa kutoka kwa watu na vyombo tofauti kufikia mtazamo wangu katika suala hili lakini sio hii ya KAMENDE pekee...Na nginegshauri ndugu zangu wengine humu ambao mnaheshimika kufanya hivyo. Hizi nyakati sio za kukimbilia kila habari.....upupu mwingi na SANITY has vanish into partisan air...
 
Naamini hata wewe huwezi kulamlaumu Mbowe, maisha ya mtu yana umuhimu zaidi kuliko mkutano ukizingatia mtu na gari yametekwa na Green guard lazima akaokoe, nasjui polisi muda wote huo wako wapi
 
Kati yangu na WEWE ni nani MPUUZI? ebu angalia upuuzi ulioandika hapa.
soma post yangu ya awali.
sibadilishi wala kuendeleza nilichosema bali nakazia zaidi kwamba wewe ni MPUUZI tena MPUUZWA.
Mnataka kutoa roho za watu ili muendelee kutawala? Laanakhum niyni.

Eti kwa sababu Mbowe alifuatilia kijana wake aliyetekwa amekuwa HATARISHI? kwani huyo kijana mliyemteka mlitaka kumfanya nini? kumtoa viungo na kuviuza? au mlitaka kunywa damu yake ili mpate stimu zaidi?

MPUUZI mkubwa wewe
 

Msanii,

Huyo msee hawezi kukuelewa, haelewi kirahisi hivyo.
 

Omar.... why am I not surprised to see you here?!
 
Mbowe alifanya vema kuwatawanya hao green guards kwani kungeweza kutokea mauaji. Raia anayemiliki bastola anaweza kufanya kazi ya polisi inapobidi kwa lengo la kulinda usalama. Ila JK sasa anawajibika kutoa tamko kuhusu vijana wake kuwafanyia fujo wafuasi wa vyama vingine. Akikaa kimya tutajua kwamba ni mpango ulioandaliwa rasmi na CCM ili iweze kung'ang'ania madarakani hata baada ya wananchi kuwakataa rasmi Oktoba 31.
 
jamani acheni unafiki, hivi wewe unaelewa maana ya kundi la watu wenye silaha za jadi? sasa ulitaka mbowe aendelee na mkutano badala ya kwenda kuokoa maisha ya kijana wake? huo ndio uongozi unavyoufahamu wewe? unajua humu kuna watu ambao bado wanataka kuvuna ya huku na ya huku hivi katika mazingira ya sasa kuna mtu anaweza kusema eti mbowe angeenda kuripoti polisi, amakweli tumekwisha, kitu ambacho hata huyo msemaji hakiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…