Elections 2010 Mbowe afukuzwa jimboni mwake

Status
Not open for further replies.

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Posts
5,404
Reaction score
239
WanaJF:

Habari nilizopata sasa hivi kutoka jimbo la Hai ni kwamba Mbowe amefukuzwa jimboni humo na wafuasi wake WanaChadema. Wamemwambia aondoke aende kumsaidia Dr Slaa na wengine katika kampeni zao, kwani humo jimboni mwake Hai, kishamaliza kazi -- watampa kura 100%.
 
Dr.Slaa ni zaidi ya CCM 100000 X 10000000000000
 

Mkuu acha hizo! Kidogo unifanye niweweseke!
 
Hai inajulikana kwamba Mbunge wa CCM ndugu Fuya Kimbita hapati hata kwa kutambika. Ukweli ni kwamba Mbowe Hai amemaliza na kama ataendelea na kampeni ni waste of resources. Ila hapo tusiseme amefukuzwa bali ameongezewa majukumu baada ya kufanya vizuri:smile-big:
 

Mkuu vipi tena kichwa cha habari na habari ni tofauti kidogo ungeweza kuandika."Wapiga kura Hai wamwambia Mbowe hana haja ya kufanya kampeni" then unamwaga manyuzi yako tutakuelewa.Bahati mbaya sina kamusi karibu kufukuzwa maana yake ni kukataliwa sawa sawa mkuu imebidi nikope msemo wa Maalimu Seif.
 

Kafukuzwa au kashauriwa tu.................Baadhi ya vichwa vya habari vinaniacha hoi.........
 
Kama Zito Kabwe. Hayo ni majembe ya ukweli.
 
Duh! Hata mimi kajasho kalianza kunitoka. Jamaa katumia lugha ya aina yake; mpaka usome ndo uelewe. Lah!
Lugha safi sana, itawafanya hata wakina MS wasome wakifikiri chichiem inashinda huko Hai.
 
Umeileta vibaya mpaka nikaona nachelewa kuiona, kama hivyo aende tu huko kumpiga tough DR. Slaa, wakuu wengine tuko mbali na habari Je DR.Slaaa anaenda Lindi na mtwara lini?
 
Unafaa kuwa mwandishi wa habari wa magazeti ya Udaku! Maana heading hii kidogo initoe jasho. But keep it up and make sure all of u vote for the better Tanzania of tomorrow
 
Kama ni gazeti lingeuza sana.
Good news by the way.
 
Good news
 
Mkuu unaweza kuua watu kwa presha, bahati imekuwa sio kama nilivyoelewa ningeweza kufa
 

Hahahaha nilikimbilia hapa kujua kulikoni! All is fine asante
 

Mwanangu nimeshtuka na hiyo heading yako
 
Nchi iko kwa slaa,mtu makini,tunamwamini na Tunamhitaji.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…