Elections 2010 Mbowe afukuzwa jimboni mwake

Status
Not open for further replies.
Mimi ilibidi niende ****** kwanza maana tumbo ghafla limeuma wakuu, ila baada ya kusoma ujumbe nikacheka mpaka watu wengine hapa ofisini wakajaa kujua kulikoni. Ila safi sana wanaHai.
 
Duh!hiyo heading yako haiendani na habari yenyewe nashauri heading iwe "MBOWE HAAKIKISHIWA USHINDI HAI"Vinginevyo utaua watu na pressure
 

Good news,, :israel:
 
wee mwana wewe utaniua kwa presha.........!nimeisoma hii news ya kwanza..,bravo rafiki, lugha uliyoitumia itawafanya hata wenzetu wa upande wa pili waisome. Cheeersssssss
 
jf tunapenda kushtuka yaani kama mshtuko wa damu uko 200% JF.tuwetayari kupokea
goodnews
 

Dhu, umestua watu sana!!! anyway, nimekupa thanks hapo juu!
 
Hahahahaaa hicho kichwa ni kizuri kwa MS ila kwa wapenda maendeleo kama mimi alimanusura nidondoke.
 

Phew!!! You got me there

nikajua keshanyea kambi
 
Hizo sio tetesi kwani Mbowe alishinda tayari alipochukua fomu ya kugombea. Huku Hai alihitaji kufanya mikutano 10 tu ya kujitambulisha kuwa anagombea,haitaji kufanya kampeni zaidi kwani kazi aliyofanya 2000-2005 ni kampeni tosha na hayajasahaulika. Kama ilivyo kwa Zitto hali ni hiyo kwa Ndesamburo wa Moshi mjini. Hadi sasa tuna wabunge watatu kabla ya uchaguzi. Bado siku tatu tu watangazwe.Sijawaongelea kina Sugu, Lema wa Arusha, Slaa wa Karatu,Mdee,Shibuda,Mrema wa Vunjo,Mnyika na wengine ambao ushindi uko dhahiri.

Pipoooooooooooooozi.....
 
Hivi ndio vichwa vya habari ambavyo mtu unaweza pata shock isiyokuwa na sababu
 

Kaka una maanisha Slaa yupi? maana kuna Slaa wa CCM Karatu na inasemekana hajaanza kampeni mpaka sasa, sijui anasubiri nini. Inawezekana wanasubiri kuiba kura za Natse wa CHADEMA kwa kisingizio kuwa wapiga kura wamejichanganya.
 
Mkuu kichwa cha habari tafadhari, wengine tuna mapresha, bila Dr wa ukweli labda iwe kama Somalia, Nchi bila Rais aliyewekwa madarakani na wananchi!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…