Mbowe afuturu na Wanachama wapya wa CHADEMA waliotoka ACT-Wazalendo huko Tandale kwa Tumbo, Msikiti wa Mbuyuni

Mbowe afuturu na Wanachama wapya wa CHADEMA waliotoka ACT-Wazalendo huko Tandale kwa Tumbo, Msikiti wa Mbuyuni

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe Jana alipata I-ftari na Wanachama wa ACT wazalendo na CUF ambao wamehamia Chadema huko Tandale kwa Tumbo Msikiti wa Mbuyuni

Mbowe amesema amepata faraja kubwa Yeye na Viongozi wenzake kushiriki katika I-ftari iliyoandaliwa na Wanachama Wapya

Mbowe ametoa shukrani Hizo na picha katika ukurasa wake twitani!

FtdMnEJaMAALNOE.jpg
FtdMpIYaAAADvz6.jpg
FtdMqzQaEAA4Oqp.jpg
 
Hivi mnajua maana ya kufuturu? Yaani mtu kutwa nzima anapiga ma kvant na makitimoto halafu jioni akinywa uji na tende mnasema anafuturu!?
 
Nchi hii ni muhimu kuwa na upinzani imara, ccm ni nyonya damu, wezi kweli kweli
 
Back
Top Bottom