johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
cc: Abdul NondoMbowe mtu wa watu.
Unataka Watu wafuturu Ripoti ya CAG?!
Ndio mwendo wa kwenda na siasa za muda huuUnataka Watu wafuturu Ripoti ya CAG?!
Uchaguzi wa Serikal za Mitaa ni mwakani Bwashee!
Huo uchaguzi huwa na kelele nyingi kuliko uchaguzi mkuuUchaguzi wa Serikal za Mitaa ni mwakani Bwashee!
Basi atakufuturu wewe.Hivi mnajua maana ya kufuturu? Yaani mtu kutwa nzima anapiga ma kvant na makitimoto halafu jioni akinywa uji na tende mnasema anafuturu!?
πππ
Kwa Mbowe tu ndiyo inaonekana siyo, Sukuma Gang mna gubu sanaHivi mnajua maana ya kufuturu? Yaani mtu kutwa nzima anapiga ma kvant na makitimoto halafu jioni akinywa uji na tende mnasema anafuturu!?
π€£π€£π€£π€£Unataka Watu wafuturu Ripoti ya CAG?!
Wewe wasemaIngekuwa ni ccm wamefanya hvy, wangeambiwa wamewarubuni na kuwanunua
Swali hili muulize aliyepoke Ripoti kuisoma n kuwashangazabwaTanzania yaliyokuwemo! Hakuamini!