Elections 2010 Mbowe ajeruhiwa vibaya na vijana wa CCM akimbizwa Marekani

Elections 2010 Mbowe ajeruhiwa vibaya na vijana wa CCM akimbizwa Marekani

Status
Not open for further replies.

HIMO ONE

Senior Member
Joined
Sep 6, 2010
Posts
128
Reaction score
7
Freeman Mbowe amejipendekeza mikononi mwa vijana mahiri wa CCM na kupewa kichapo havi hadi kupoteza fahamu leo Masama Hai.Hali hiyo imepelekea mkuu huyo wa CHADEMA kuwahishwa USA through Pretoria sijui kama atashiriki uchaguzi.CCM soo wana vijana wa JWTZ wanapiga ile mbaya.
 
Haya tena makubwa! Mwand?shi sijakuelewa kajipendekeza kiaje! Hapa umen?acha mkuu!
 
Yaani hadi kapelekwa USA kupitia Pretoria, JF hakuna hata mtu mmoja anafahamu?

Mods, FUNGENI hii IP Milele......
 
Freeman Mbowe amejipendekeza mikononi mwa vijana mahiri wa CCM na kupewa kichapo havi hadi kupoteza fahamu leo Masama Hai.Hali hiyo imepelekea mkuu huyo wa CHADEMA kuwahishwa USA through Pretoria sijui kama atashiriki uchaguzi.CCM soo wana vijana wa JWTZ wanapiga ile mbaya.

Hivi una akili timamu?Unajua tofauti za kiitikadi hazitufanyi tugeuke Wahutu na Watutsi,kiasi kwamba wahuni wanapomjeruhi raia asiye na hatia anajitokeza mpumbavu wa kushabikia kama ufanyavyo.

Umenufaika na nini baada ya wahuni hao unaowasifia kumjeruhi Mbowe?
 
HUU NI UWONGO!

Muda si mrefu nimeongea nae kwenye simu na atakuwa Dar es Salaam kesho.

Habari za uwongo hazina nafasi hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom