Mbowe ajishughulishe na CHADEMA kwa tahadhari kubwa

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
TAHADHARI 1;
Akae pembeni na a behave kama mwanachama wa kawaida tu. Kama alivyosema, aendelee na biashara zake na familia yake kwa Sasa.

TAHADHARI 2;
Ikibidi kushirikishwa jambo ndani ya uongozi, shiriki kwa tahadhari kubwa.
 
Ngoja nikupe elimu kidogo DATAZ
Huyo ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu.. ni nafasi kubwa ndani ya chama ambapo atahitajika kwenye mambo mengi sana
 
Ni kids muafaka awape wanafamilia wake muda

Hatajuta
 
TAHADHARI 1;
Akae pembeni na a behave kama mwanachama wa kawaida tu. Kama alivyosema, aendelee na biashara zake na familia yake kwa Sasa.

TAHADHARI 2;
Ikibidi kushirikishwa jambo ndani ya uongozi, shiriki kwa tahadhari kubwa.
Yes, L:isu ni adui wake mkuwa na wala si Mshindani wake. Yule ni Nyoka ndumila kuwili! Erythrocyte
 
Back
Top Bottom