Mbowe akana kuwapo kwenye maandamano

Anakataa wakati CCTV zinamuonesha afungwe kwa kuidanyanya mahakama ,damu ya akwilina haita muacha salama


State agent
 
Anakataa wakati CCTV zinamuonesha afungwe kwa kuidanyanya mahakama ,damu ya akwilina haita muacha salama


State agent
Ni bora ukaekimya tu muda mwengine ili usijisikie aibu.
 
Kama hujui kitu ni Bora ukae kimya
 
Wajinga hawawezi kumwelewa mbowe,sasa nendeni na ma-cctv yenu mdhalilike mahakami
 
Bavicha mjifunze kuwa huko Chadede kukanwa ni nje nje.
 
Mze kashutukia dili ajitoe mapema.
 
alitimua mbio
 
Mbona unaandika ukiwa naharaka kama uharo? hata ulichoandika hakieleweki! au bado uko maliwato
 
Inaumiza kuhusu mtu aliyeaminiwa na wanachadema kama mbowe kukana kuwa hakuwepo wakati anajua alikuwepo na wenzake watamtaja soon zoezi likiwafikia la kuhojiwa

Mbowe anywe mbege akijiandaa kunyea pipa

State agent
 
Kamanda wa Anga Mbowe[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mahakama haina siasa soon watawaka!dj kashasoma alama za nyakati zigo lote watalibeba wakina mashinji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbowe kabadili tena gia angani huku akikaanga wafuasi.
Huu uoga wa kamanda umetoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…