Mzee Freeman Aikael Mbowe amekuwa mwenyekiti wa chama kwa miaka 21 bila ya uwepo wa ushindani kwenye nafasi yake. Na walionyesha jaribio la kutaka nafasi yake walitimuliwa kwenye chama kwa USALITI.
Hatimae kwa mara ya kwanza Mzee Mbowe amekutana na Moto wa Lissu kuhusu nafasi yake ya uwenyekiti na kwa jinsi Lissu alivyofanya timing, Mzee Mbowe na genge lake hawakuwa wametarajia huu ujio wake na hivyo kushindwa kufanya chochote dhidi ya Lissu kwa usaliti.
Mzee Mbowe na genge lako tunaomba ukubali matokeo tu kuwa,safari hii SACCOS ni lazima iondoke utake usitake hii SACCOS ni lazima sasa iwe ya KITAIFA.
Lissu is the real DEAL.