Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kuna kambi mbili chadema ambayo ni Lisu na Mbowe. Karata zinaonyesha wapiga kura watabadili wagombea nafasi za mwenyekiti. Endapo mpiga kura atapiga kura kwa Mbowe basi atapiga kura ya makamu kwa mgombea anayeungwa mkono na Lisu; vivyo hivyo kwa Lisu.
Natabiri Mweyekiti atapata Makamu asiye wa kambi yake. Kwa utabiri huu sera na maono ya pande mbili yatatekelezwa ikiwemo pia kuwa na baraza lenye wajumbe wa pande mbili. Wasiwasi wangu ni wateuliwa kufanya kazi pamoja.