Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Hata Mimi naamini hachomokiIwe mvua ama jua, kwa ngumi ama mteke, Mbowe hashindi!
Mbowe must go!
Mbowe anaweza kufanya kazi na Heche. Lissu hawezi kufanya kazi na Wenje.Kuna kambi mbili chadema ambayo ni Lisu na Mbowe. Karata zinaonyesha wapiga kura watabadili wagombea nafasi za mwenyekiti. Endapo mpiga kura atapiga kura kwa Mbowe basi atapiga kura ya makamu kwa mgombea anayeungwa mkono na Lisu; vivyo hivyo kwa Lisu.
Natabiri Mweyekiti atapata Makamu asiye wa kambi yake. Kwa utabiri huu sera na maono ya pande mbili yatatekelezwa ikiwemo pia kuwa na baraza lenye wajumbe wa pande mbili. Wasiwasi wangu ni wateuliwa kufanya kazi pamoja.
Heche akitubu dakika hizi za majeruhi tunaweza kumpa kura na hatimaye kufanya kazi na Mwamba.Makamu hawezi toka upande wa Mbowe, makamu hawezi kuwa Wenje.
Baada ya interview ya Mbowe na Mwananchi papers akimuelezea Heche, Heche atapunguza respect sana kwa Mwamba.Heche akitubu dakika hizi za majeruhi tunaweza kumpa kura na hatimaye kufanya kazi na Mwamba.
Sababu so far hajaropoka ropoka.
Akigoma basi benchi linamuhusu.
Kwa vyovyote Heche atakuwa makamu kati ya hao wawili.Kuna kambi mbili chadema ambayo ni Lisu na Mbowe. Karata zinaonyesha wapiga kura watabadili wagombea nafasi za mwenyekiti. Endapo mpiga kura atapiga kura kwa Mbowe basi atapiga kura ya makamu kwa mgombea anayeungwa mkono na Lisu; vivyo hivyo kwa Lisu.
Natabiri Mweyekiti atapata Makamu asiye wa kambi yake. Kwa utabiri huu sera na maono ya pande mbili yatatekelezwa ikiwemo pia kuwa na baraza lenye wajumbe wa pande mbili. Wasiwasi wangu ni wateuliwa kufanya kazi pamoja.