Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huu ndio utabiri wangu siku Mbowe anatoka Mahabusu. Atazungukwa na Media za kitaifa na kimataifa na ujumbe wake utakuwa ni huo au wenye kufanana na huo.
Historia ya mapambano ya kudai Katiba Mpya inazidi kuandikwa, na picha za Mbowe kuwa Mahakamani na za kuachiwa huru au hata kufungwa gerezani, zitachukua nafasi katika maandiko ya kihistoria ya mapambano ya kudai Katiba Mpya.
Mbowe kufungwa gerezani au kuachiwa huru, yote yana impact moja tu kuchochea mapambano ya kudai katiba mpya
CCM wamekosa maarifa.