johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama Mbowe peke yake aliweza kumkata Dr Slaa na kumleta mzee Lowassa kugombea Urais Chadema mnafanya Uchaguzi Ili iweje?
Kama Mbowe peke yake alienda kwenye Maridhiano na CCM ni nani mwingine kama Mbowe Hapo Chadema?
Kwa kifupi Sana, Mbowe ni mkubwa kuliko Chadema
Huo uchafuzi ni Baraza kula hela za Nondo tu lakini hakunaga uchaguzi Chadema
Ahsanteni Sana 😂