chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
WanaJF,
Nafikiri Sisi ndio tumechelewa kulifahamu hili Jambo lakini kumbe ndugu Freeman Aikael Mbowe alishaanza kutekeleza Hilo muda mrefu, kwamba kwa sababu yeye ameshindwa kupambana na CCM kwa zaidi ya miaka 30 sasa yeye akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa basi ameona aungane nao wakati huu.
Mbowe Pumzika Sasa Imetosha, Wapishe Na Wengine. Wakati Ni Ukuta.