Naunga mkono hoja, if you cant beat them, join them Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! hii ndio formular ya suvivalWanaJF,
Nafikiri Sisi ndio tumechelewa kulifahamu hili Jambo lakini kumbe ndugu Freeman Aikael Mbowe alishaanza kutekeleza Hilo muda mrefu, kwamba kwa sababu yeye ameshindwa kupambana na CCM kwa zaidi ya miaka 30 sasa yeye akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa basi ameona aungane nao wakati huu.
Mbowe Pumzika Sasa Imetosha, Wapishe Na Wengine. Wakati Ni Ukuta.
#Serious? ,so if you can't beat the evil one join themNaunga mkono hoja, if you cant beat them, join them
P
Tatizo amelitaka mwenyewe kwa kushindwa kusoma alama za nyakatiPunguzeni kumpiga spana huyu mzee,ana mazuri yake mengi pia
Yes, this is the art of war, if you are good, unamfuata Mungu, then shetani akaingilia kati safari yako kumfuata Mungu, pigana na shetani, ukimuona shetani amekuzidi nguvu na atakuteketeza, then join the devil and fight from within, vinginevyo utateketea!. Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! JPM was a devil in human flesh, usipomjoin uta perish, the only survival mechanisim was to join him and fight from within, ndio maana baadhi yetu tupo mpaka leo!. I'm a survival!.#Serious? ,so if you can't beat the evil one join them
Hope he will understand this🤔🙇🏿♂WanaJF,