Mbowe alilalamika 2018 kutaka kubambikiwa kesi

Mbowe alilalamika 2018 kutaka kubambikiwa kesi

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Kama vile lissu alipolalamika kwamba kuna plans za kumuuua na baadaye akapigwa risasi za kutosha basi march 2018 mbowe alishayajua pia
274445971_719497722349429_7352994194385046760_n.jpg
 
ELEWA: kuna tofauti kubwa sana kati ya Uhaini na ugaidi!
Jifanye Ng’ombe mtu mkuu hakuna neno.
Tetea maslahi yako kama yapo awamu ya 6.
Jifanye akili yako haina akili ndio inalipa zaidi.
 
Na 2020 Magufuli alimpa Sabaya kina Kingai wakamuue mzee Mbowe. Walimvamia usiku na magari yenye namba feki za diplomati.
Kifo cha Magufuli ni GHADHABU za ALLAH.!
Hatimae POLISI WAMETIMIZA NIA YAO NDIO MAANA KINGAI ALIMTAMKIA MBOWE KUWA TUNAKUPA UGAIDI ILA MUNGU ATATENDA MIUJIZA YAKE
 
Back
Top Bottom