johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mbowe na makene wake zao ni nani katika 19 waleMbowe ,Makene Salim Mwalimu wake zao wapo Bungeni haha Ni Kichaa Tu anaamini kuna jipya litatokea[emoji3]
Aisee huyu si aligombeaga Segerea nadhani kipindi flani, Makene alifunga ndoa miaka flani hili ndo jiko alichukua kumbe au anafikia tu [emoji23]Anatorpia Makene.
NapitaNdani ya CHADEMA, Mbowe wanamwita " MWAMBA" na ni mwamba kweli kweli kama Petro.
Hakuna jambo lililetwa na Mbowe au liliamuliwa awali na Mbowe kamati kuu ya CHADEMA ikagoma kulibariki.
Hata kesho tarehe 27/11/2020 siku ya Ijumaa saa 3.00 asubuhi Halima James Mdee akiithibitishia kamati kuu kwamba uteuzi wao una baraka za mwenyekiti Mwamba Mbowe, kamati kuu itaunga mkono baraka za mwenyekiti Mbowe na wabunge wote wa viti maalumu wataendelea na shughuli za bunge.
Mzee Shibuda alikuwa mbunge kupitia CHADEMA huku akiitumikia CCM lakini CHADEMA hawakuwahi kumfukuza hadi alipoondoka yeye mwenyewe.
Cecil Mwambe na David Silinde kadhalika.
Siasa ni sayansi, mwamba Mbowe pale CHADEMA ni kama MO Dewji pale Simba yaani ni zaidi ya kamati kuu.
Maendeleo hayana vyama
katiba ya chama lazima ifatwe.Katika hili chadema wawe wapole tuu kwa kweli.
Maana kwa kipindi Cha miaka mitano bila kutajina mahali au uwepo wa mwanachama wa chadema katika sehemu yoyote ingewapelekea kupotea katika ramani za siasa.
Wakubali tuu hao wakina mama kuwepo pale bungeni hata ijulikane tu kwamba chadema bado ipo.
Sasa kwanini huwa unamtukana wakati unamkubali?Watatakiwa kuomba radhi hadharan na blaa blaaa za kuwasimamisha Uanachama kwa muda then maisha yataendelea kama kawaida
Mbowe namkubali sana kwa 'hekma' zake