Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe ni Suala la mda tuu utakuwa msemaji wa Serikali
Hajalamba asali labda 😁😁Mbona unateseka?
Mbona unateseka?
Sumu ya aina gani?Mpumbavu mkubwa wewe kunywa sumu kama umechukia View attachment 2858728
Na bado hamjasema, mpaka mseme.....umkome Mbowe
Mpumbavu mkubwa wewe kunywa sumu kama umechukia View attachment 2858728
Amsemea mama tu, Chawa kanuna....
Chama cha chadema kimejaa wahuni kama ccm tu....wapo kwa maslai binafsi ndiyo maana wanashabikia kila jambo la kipumbavu analo fanya mbowe
Pumbavu kenge weweKama chama mnaona hakiendi sawa, mtoke, hamna aliyewaita kwenye chama,watu tumevuja jasho na damu kwa chama hiki, na tunakiendesha kwa hela zetu za mfukoni mnakuja kutuhoji hovyohovyo
Chama hakiwezi kukabidhiwa kwa chasaka, ambaye anaona hamuelewi mwenyekiti, aondoke, vyama viko vingi, akajiunge hukoMbowe ni kama anafanya majaribio ya kustaafu sasa, ili akistaafu asipate shida kuizoea hali mpya.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app