Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Usiku huu unashindwa kumuwaza hata namna ya kuwasaidia ndugu zako kijijini unaandika upupu kuhusu mwanaume mwenzio?! PatheticAliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu.
Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM?
Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani.
Kumbe jela ni njia ya kunyamazisha watu.
Hahaha ๐คฃ๐คฃ๐คฃ haya buanaMavi sio maini
Mataga Kibano kinaendelea Burundi sio mbali....Aliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu.
Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM?
Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani.
Kumbe jela ni njia ya kunyamazisha watu.
Waambie CCM waruhusu mikutano ya siasa uoneshwe na njia nyingine za kuwafikia wananchi zilizopo.Hakuna nia ya dhati kuwag'oa CCM yote mnayofanya ni geresha tu.
Kidogo unakuwa na papara mkuu 'Muuza Kangala'.Aliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu.
Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM?
Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani.
Kumbe jela ni njia ya kunyamazisha watu.
Kwa nini wewe mwenye hiyo nia ya dhati usiongoze juhudi za kuwang'oa CCM?Hakuna nia ya dhati kuwag'oa CCM yote mnayofanya ni geresha tu.
Atakuwa alikunywa kangala๐๐Usiku huu unashindwa kumuwaza hata namna ya kuwasaidia ndugu zako kijijini unaandika upupu kuhusu mwanaume mwenzio?! Pathetic
Chadema imepunguza moto wa kudai katiba mpyaHayo makongamano ya Katiba Mpya yanayoendelea nchi nzima huyaoni? ile operation ya Chadema ni msingi kurudiwa nchi nzima hujaisikia?
Unadharau pesa anazookoteza mitaani unataka wakachukue ruzuku ya serikali ya wizi iliyopatikana 2020? unataka wachukue ili wahalalishe ule uharamia uliofanyika halafu tena mje kusema Chadema hawajielewi?
Kwa upeo wako mdogo hujui kama Chadema wanavyozunguka huko mitaani wanawafikia wanachama na supporters wao kwa ukaribu zaidi na kukihuisha chama chao.
Umeandika kwa facts au hisia tu?๐๐๐Aliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu.
Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM?
Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani.
Kumbe jela ni njia ya kunyamazisha watu.