Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Weye uliwahi kuelewa kipi tangu uzaliwe?Upoupo tu.Unachoelewa ni CCM oyeee!Sijawahi waamini hao watu.
Sijawahi ona wakiwa na nia yeyote ile.
Sio vibaya umefahamu hilo hata kwa kuchelewa.
Ameambiwa aunge mkono juhudi za kuijenga nchi.Mbowe siku hizi hana mzuka wala moto wa kuizungumzia katiba mpya, Sijui kwa nini kabadili gia angani
INGIA WEWE UWAOKOE WATANZANIA TUKUONEAliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu.
Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM?
Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani.
Kumbe jela ni njia ya kunyamazisha watu.
wazazi wako wana hasara tupu! Miezi tisa ya bureAliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu.
Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM?
Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani.
Kumbe jela ni njia ya kunyamazisha watu.
Sometimes kuna muda inakubid upige kimya ili ufanye mamb mengine, imagine mtu anaandika Poropwindo kama hii? Mbowe anajitosheleza kimaisha mzee.Aliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu.
Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM?
Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani.
Kumbe jela ni njia ya kunyamazisha watu.
Kwa imani yako Katiba Mpya inadaiwa kwenye majukwaa na mikutano peke yake? Hivi hao wananchi wanaoombwa ku Join the Chain wanapewa sababu gani za kuchangia Chadema? Kuna njia nyingi za kumchuna paka.Chadema imepunguza moto wa kudai katiba mpya
huenda Mbowe ameshacompromise!
Aliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu.
Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM?
Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani.
Kumbe jela ni njia ya kunyamazisha watu.
Hakuna nia ya dhati kuwag'oa CCM yote mnayofanya ni geresha tu.
Huna akili kaa kimya
Unasubiri Mbowe aing'oe CCM, wewe kama huitaki CCM unasubiri mini kulianzisha?Hakuna nia ya dhati kuwag'oa CCM yote mnayofanya ni geresha tu.
Ni kweli mtupu syo tu Mbowe hii nchi hakunaga mpinzani wa kweli ambaye yupo tayari kushika dola bt wote ni vibaraka wa Chama tawala hizi blah blah za mitandaoni ni kuwazuga tu wananchi bt huko nyuma, lao ni moja wanakunywa na kula bata Pamoja.
Mr new culture ni mtu wa wapi vile..hao jamaa kwenye pesa wako radhi kwa lolote.
#MaendeleoHayanaChama
Chadema imepunguza moto wa kudai katiba mpya
huenda Mbowe ameshacompromise!
Sijawahi waamini hao watu.
Sijawahi ona wakiwa na nia yeyote ile.
Sio vibaya umefahamu hilo hata kwa kuchelewa.
Sijawahi waamini hao watu.
Sijawahi ona wakiwa na nia yeyote ile.
Sio vibaya umefahamu hilo hata kwa kuchelewa.
Ameambiwa aunge mkono juhudi za kuijenga nchi.
Tayari price tag anayo na kafikwa bei kama kipindi kile cha lowasa.
#MaendeleoHayanaChama
.Hayo makongamano ya Katiba Mpya yanayoendelea nchi nzima huyaoni? ile operation ya Chadema ni msingi kurudiwa nchi nzima hujaisikia?
Unadharau pesa anazookoteza mitaani unataka wakachukue ruzuku ya serikali ya wizi iliyopatikana 2020? unataka wachukue ili wahalalishe ule uharamia uliofanyika halafu tena mje kusema Chadema hawajielewi?
Kwa upeo wako mdogo hujui kama Chadema wanavyozunguka huko mitaani wanawafikia wanachama na supporters wao kwa ukaribu zaidi na kukihuisha chama chao.
Mleta mada anapima upepo baada ya maandamano USA Kutokea. Kuweni makini.Aliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu.
Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM?
Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani.
Kumbe jela ni njia ya kunyamazisha watu.